[wanabidii] FREEMAN MBOWE KWENDA MAHAKAMANI NI DALILI ZA KUSHINDWA

Monday, January 13, 2014
Baada ya sakata la Zito kabwe na chama chake change cha chadema kupambana ndani ya chama sasa sakata hilo limefikia patamu ambaoi zito tayari amekishinda chama kupata haki zake za uanachama wake.

Baada ya M/kiti.Mbowe kuona chama kimebwaga na mbunge machachari bwana zito sasa ni zamu ya Mbowe kwenda Mahakamani.,
Mbowe anadai amedhalilishwa kwakuambiwa eti amepokea hela za kampeni kutoka kwa kada mkubwa wa CCM ROSTAMU AZIZI.
Mbowe anaona kuwa anaonewa hapo lakini lazima tujiulize kwani ni kwa rostamu tu.,Je? Mbowe na hizi hela za Kada nguli la CCM mzee SABODO hapa mbowe anatuambia nini? Kuwa hajachukuwa au na kama kachukuwa zimefanya kazi gani ya chama!awambie wanachadema.

Wachambuzi wa mambo wanasema sasa mbowe anakimaliza chama kabisa kwa uamuzi wake huo wakukimbilia Mahakani kwa kit ambacho kila mwanachadema anajua kuwa kimefanyika naanaweza kuchimbua mambo mengi sana.

Chamsingi haoo mbowe anachotakiwa kufuata kesi ya msingi aliodai zito ktk sakata la kusikilizwa rufaa yk kwenye baraza kuu la chama hili ndio mbowe kaliacha,
Kwamujibu wa Mahakama anatakiwa kuitisha baraza kuu nasio kwenda Mahakani kumshtaki zito, itafikia wakati kila mtu ataenda mahakani sasa, hata sisi wanachama tutaenda mahakani kwani chama hakitutendei haki.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments