[wanabidii] CHADEMA WAZIDI KUMCHAFUA ZITTO KABWE

Thursday, January 16, 2014
Zitto Kabwe,
Nataka ujue kwamba kati ya
watu 10 wajinga au
wapumbavu, utakuwa mmoja
wao. Nakushangaa kila siku
unajigamba una akili. Akili gani
uliyonayo wakati unanunuliwa
na watu wapumbavu kama
Mwigulu Nchemba. Unashirikiana
na TISS pamoja na makada
wakubwa wa CCM, utajuaje kama
mimi siyo moja ya hao watu? Au
kwa sababu unajuana na Jack
Nzoka? Jack ndio nani? Mwigulu
pamoja na ushamba wake,
amekutega vibaya na ukanasa
kama swala. Ona jinsi
anavyokutumia na kundi lako la
Masalia kwenye mitandao ya
kijamii
Zitto umekuja hadharani na
propaganda za kijinga na kudai
kwamba nimekutishia maisha,
nilikutishia wapi wakati
nilikuonya tu kwamba uwe
mwangalifu na CCM pamoja na
TISS unaoshirikiana nao?
Wakishakuua, watakuja kudai
kwamba CHADEMA ndio
waliokuua? Hivi wewe ni mzima
kweli kijana? Mwisho ukaja kudai
mimi ni mmoja wa vifaranga?
Kijana kuwa mwanagalifu
umefika pabaya kisiasa. Afadhali
utafute njia mbadala. Muulize
Mwigulu alifuata nini Uchina na
Yule balozi anawasaidia CCM
kwenye kazi gani?
Mimi kama mmoja wa watu
wanaokujua vizuri na usaliti
wako, zaidi yako unavyojijua,
nakwambia wazi kabisa kwamba
vijana wenye uwezo wa
kuiongoza hii nchi tulishawaona.
Haumo kabisa kwenye kundi hilo.
Hilo tuliliona siku ulipopokea
magari ya Rostam Aziz. Mwenye
uwezo mkubwa zaidi kuiongoza
Tanzania anaishi nje ya nchi,
haeleweki ataingia siasa au
hataingia, na wala haeleweki
kwamba yumo kwenye chama
gani. Mwingine ambaye yuko
karibu na anaonesha uwezo,
yuko CHADEMA. Wengine wote ni
kelele tu kama wewe, Kilaza
Nchimbi na Mlevi na Fisadi
January Makamba
Bwana Zito, ukitaka kujua ujinga
wako, ni pale ulipomparamia
mke wa Kagasheki ambaye
ameshindana na Nape Nauye.
Umeingia kwenye mtego wa
Mwigulu Nchemba pamoja na
ushamba wake. Unajua kwamba
Catherine Magige ni mke wa
Kagasheki. Baada ya Conference
yako kuhusu kutimuliwa
Chadema, uliondoka na Catherine
Magige na Binti yake mdogo
mkaenda Dubai siku kadhaa
kabla hajaenda uingereza
ambako ametoka siku tatu nne
zilizopita. Dubai ulifuatwa hadi
kwenye hoteli mlikofikia.
Camera zilisetiwa na kurekodiwa
mkifanya ngono na sehemu
nyingine nyingi. Siyo wewe tu,
Nape Nauye pia amerekodiwa
akifanya Ngono na Catherine.
Ngeleja amerekodiwa akifanya
Ngono na Anne Kilango
Malechela. Zitto nilishiriki binafsi
kukurekodi ukifanya ngono na
Eliza Luhanjo Marekani, sasa kazi
kwako kijana…Muendele zo wa
mitego dhidi ya kuwanasa na
kuwazima wapumbavu kama
wewe…..Tuone. Umerekodiwa
mara nyingi sana na watu tofauti
pale Sinza unakolala na kila rangi
ya mwanamke ……Hivi zile plani
zako za kijinga Kigoma sasa hivi,
unajua kweli baadhi ya wale
vijana wanaoratibu ni wana
TISS? Simu zote za kijinga
unazompigia kaka yako na
misukule mingine yote
inarekodiwa, kwa jinsi
ulivyompumbavu
Ili kukukomesha baada ya
kunitaja hadharani,
ninakuhakikishi a kwamba
ninayo video mkononi. Sasa
tuone nani mjanja. Hii kitu ni
muda tu tutampa Kagasheki
ajionee na baadae viongozi wote
wa CCM. Hatutakurupuka,
tutachukua muda wetu, hasa
kabla ya uchaguzi wa 2015, Kwa
sababu maneno tu utasema sisi
waongo . Ulidhani kwamba
wewe mjanja, lakini kumbe ni
mtu mwepesi sana. Usichezee
watu usiowaona. Mtandao huu
ni mkubwa, tuko kila sehemu
unakokwenda. Hakuna
anayekupenda TISS wala CCM.
Unatumiwa tu. Stakabadhi ya
fedha ulizotumiwa ujerumani
tunazo…………..Ume chokoza
watu wenye uwezo zaidi ya TISS.
Baada ya malalamiko kupelekwa
Ujerumani, sasa hivi EU nzima
inaku monitor na huyo gaidi
mshamba Mwigulu ambaye
umeshirikiana naye kwembe
mambo mengi ya hujuma na
ugaidi
Ili CHADEMA ibaki kuwa chama,
lazima wakufukuze. Yaani ni
lazima wakuvue uanachama kwa
maana hata wewe pia hilo
unalijua, wamegundua baadhi ya
mambo yako lakini siyo yote.
Mpango wa TISS kukutumia
kuwaua viongozi wake unalijua?
CHADEMA watakuwa wajinga
sana kama hawatakufukuza na
wana mabadiliko
hawatawaelewa. Hujuma
unazowafanyia zimetosha.
Ulishiriki kutaka kumuua Mbowe
Arusha, CHADEMA Hawalijui hilo.
Zitto wakina Kilewo, ni wewe
ndiye uliyesuka mpango mzima
wa kuwasweka Lwakatare na
Kilewo. Tunasubiri wakufukuze,
halafu na sisi pia tuingilie kati
kuwaambia wana CCM kwamba
hauwafai, mtafuta sifa za kijinga.
Na kwa taarifa yako maongezi
yako ya hivi karibuni na Andrea
tangu sakata la CHADEMA lianze
tunayo!
Hii email itapokewa na zaidi ya
watu 50.Nimefanya makusudi, na
kama utabisha haukwenda Dubai
na Catherine Magige, niko tayari
kuweka scanned copies za ticket
zenu na hoteli mliyofikia.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments