[Mabadiliko] Hongera Rais Jakaya Kikwete kwa hotuba nzuri mazishi ya Mandela

Sunday, December 15, 2013

Hongera Rais Jakaya Kikwete kwa hotuba nzuri na yenye kuikumbusha dunia historia ya uhusiano wa ANC na TANU /CCM na watu wa Afrika Kusini na Tanzania ulioasisiwa na Mandela na Mwl. Nyerere, naweza kusema Kikwete leo alikuwa ndio Mzungumzaji Muhimu na ameiweka Tanzania katika picha nzuri na dunia kujua mchango wetu katika mapambano ya ukombozi wa Afrika. Kizazi cha sasa tuna kazi kubwa ya kufanya ili kuendeleza mazuri yaliyoasisiwa na viongozi wetu ili kujenga Jamii bora.

Mungu ibariki Tanzania ,
Mungu ibariki Afrika.

Phares Magesa.

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com

MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo hii ni taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com

For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments