[wanabidii] ZITTO NIMEMWANDIKIA KATIBU MKUU KUHUSU TUHUMA DHIDI YANGU NA NITAWASHTAKI WOTE WALIONICHAFUA

Sunday, November 10, 2013
Kuna taarifa kuwa Zitto Kabwe amemwandikia Katibu Mkuu wake Dr. Slaa (Mzee wa LIKE) barua siku nne zilizopita kutaka kujua kama tuhuma zilizosambazwa mitandaoni dhidi yake na makada pamoja na viongozi waandamizi wa Chama chake ndio msimamo wa Chama na Je tuhuma hizo zimeandaliwa na Chama chake au Lah!

Zitto pia pamoja na dada wa Kijerumani aliyetajwa katika hekaya ile ya Abunuasi wanaandaa mashtaka dhidi ya Yeriko Manyerere na wenzake kwa kutengeneza na kusambaza tuhuma hizo mbaya dhidi yake. Hapa Tumaini Makene,Josephine Mushumbuzi na mume wake pia wakae chonjo kwa kushinikiza mods wa jamvi hili kuweka post ile mara tu ilipoondolewa na baadae kuanza kuisambaza mitandaoni kwa kuwatumia vibaraka wao (Magaidi washtakiwa).

Kuna taarifa za uhakika kabisa kabisa kuwa aliyeratibu taarifa ile ni Dr. Slaa na Ofisi yake labda ni kwa sababu za Urais 2015 yeye anajua na labda atatuambia aonapo uzi huu

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments