[wanabidii] TAARIFA YA MAUAJI MKINDO-MVOMERO

Tuesday, November 05, 2013
Kuna taarifa za kusikitisha za mauajiyaliyotokea leo hii ambapo takribani watu sita wameuawa kutokana na mapigano kati ya WAKULIMA NA WAFUGAJI WA KIMASAI. Ni mgogoro uliodumu kwa muda sasa na hakuna hata utulivu hadi hivi leo.Fuatilieni kwenye vyombo vya habari kwa taarifa zaidi.

Venance

Share this :

Related Posts

0 Comments