[wanabidii] Sensei Rumadha Fundi Andeleza mafunzo ya Karate huko Houston, Texas, USA

Sunday, November 17, 2013


Sensei Rumadha Fundi  Anazidi kuwaimarisha wapiga karate nchini Marekani !
Jumapili ya 16 November 2013 Ametoa Semina maalumu Texas,USA


Mtaalamu wa michezo ya Karate na Yoga mtanzania Sensei  Rumadha Fundi siku ya jumamosi  November 16, 2013 
Alitoa semina maalum ya mafunzo kuimarisha viungo kutumia vifaa  asilia toka Okinawa  "Chishi na jar" kuimarisha miguu, vidole na misuri yamapaja na miguu. Mafunzo haya yana lengo la kuimarisha nguvu za mateke na utumiaji wa ngumi, na kujenga msingi wa "Kata" bora. Okinawa Goju Ryu Karate- Do "Special training for weight and conditioning" Sugarland, Texas, USA.
Sensei Rumadha Fundi (Black belt,3dan) ni mtaalamu wa mda mrefu katika michezo ya Karate ambaye alipata mafunzo
ya mwanzo katika Dojo la Zanaki,jijini Dar-es-salam nchini ya mwalimu wake Marehem Sensei Nantambu Kamara Bomani.
baadaye mafunzo ya Yoga nchini,Mafunzo ya juu na falsafa ya Goju Ryu kule Okinawa,Japan na kutunikiwa dan tatu.
Sensei Rumadha Fundi ni mmoja wa wataalamu wa kiafrika wachache wanaokubalika kimataifa katika fani hii Karate,
Pia ameweza kuendesha mafunzo na semina katika nchi mbali mbali duniani.
SENSEI RUMADHA FUNDI KUTOKA USWAHILI NI MTALAAMU WA KUJIVUNIA KWA WATANZANIA

unaweza kujiunga nae at www.facebook.com/fundi.romi


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments