[wanabidii] Saidia Kupunguza Vifo kwa WAJAWAZITO

Tuesday, November 12, 2013

BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA 2014 IPUNGUZE VIFO VYA WAJAWAZITO

ZAIDI ya Wanawake 8,700 hufariki duni kila mwaka nchini Tanzania kutokana na matatizo ya ujauzito na hasa wakati wa kujifungua. Takwimu hizi zinaonesha takribani wanawake 24 hupoteza maisha kila siku huku ikikadiriwa mmoja kufa kila baada ya saa moja.

Hata hivyo wataalamu wa afya wanasema moja kati ya sababu zinazochangia vifo hivi  ni kukosekana kwa huduma za dharura katika Vituo vya Afya wakati wa kujifungua. Hata hivyo Serikali ya Tanzania mwaka uliopita katika ahadi zake imeahidi kupunguza vifo hivi kwa asilimia 50 ifikapo mwaka 2015.

"Si sahihi mama mjamzito kufa wakati wa kujifungua au si sahihi mama huyu kupoteza uhai wake kwa kuugawa kwa kiumbe anachokileta duniani, hii haiwezi kukubalika. Na inasikitisha zaidi pale maisha ya mama huyu yanapotea hata kwa mambo ambayo yanaweza kuzuilika," anasema Rais Kikwete katika hotuba yake mbele ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (U.N) Ban Ki-moon.

Wewe pia unaweza kushiriki katika kupigania kutokomeza vifo hivi kwa akina mama wajawazito pamoja na watoto. Je, unataka kushiriki? Tafadhali fuata kielelezo/link hii hapa chini:-

http://www.change.org/petitions/the-government-of-the-republic-of-tanzania-save-women-and-newborns-lives-during-childbirth-by-properly-funding-emergency-obstetric-care-in-2014-budget-3?share_id=VqZSinjvFV&utm_source=share_petition&utm_medium=email&utm_campaign=petition_invitation 

 

The 2014/2015 National budget should bring hope for Maternal Health.

Every year, over 8700 women die in Tanzania due tocomplications in pregnancy, childbirth and post-delivery. This number is equivalent to 24 deaths every day and one woman every hour.

These deaths could have been avoided if pregnant women had access to Comprehensive Emegency Obstetric and Newborn Care (CEmONC) facility where, among other things, operations, caesarean sections and safe blood transfusions can be performed.

Remembering president JakayaMrisho's speech last year before the U.N. Secretary-General Ban Ki-moon and New York City Mayor Michael Bloomberg, who heads Bloomberg Philanthropies, he pleadged for the government's commitment in cutting maternal  mortality rates in Tanzania.

 "It is not fair for a woman to die because of giving birth or giving life to another human being.  It's not acceptable.  Sadly, women and children die of causes that can be prevented," he said.

The government had also pleadged to increase CEmONC to reach 50% ahead of the Millenium Challenge Development Goal's deadline coming 2015.

Join us in urging the government to set aside budget in the 2014/2015 financial year for CEmONC.

Follow the link below.

http://www.change.org/petitions/the-government-of-the-republic-of-tanzania-save-women-and-newborns-lives-during-childbirth-by-properly-funding-emergency-obstetric-care-in-2014-budget-3?share_id=VqZSinjvFV&utm_source=share_petition&utm_medium=email&utm_campaign=petition_invitation 


_______________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments