wapendwa hbr za j2, i today bring you this investment for any interested person to come in, contact me for details:
Kuna guest 2 zimeletwa kwetu ziuzwe kwa haraka, wenye nazo wana tatizo..... Guest moja ipo mabibo mitaa ya chuo cha usafirishaji ina vyumba 12 , ni nzur na inafanya kazi, bei ni m 150 na mazungumzo yapo
2 nyumba nyingine ya wageni nayo ipo kimara bauri bahama mama mbele ya kiwanda cha zaman i baruti, ni self contained vyumba vyote, ni kali sana na bei ni m 140 na mazungumzo are welcomed
Also for serious people who needs plots/ houses may you please contact us now, we have many plot / houses for sale for you guys, in many parts of Dar city and kigamboni for cheapest prices starting with m 3 for plots and m 35 for houses...available at kimara, segerea, tabata kisiwani, segerea, tegeta, mbweni, mbezi beach, and kigamboni
do not hesitate try us now
cell 0652 314181
mollel
0 Comments