TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kutokana na Maboresho yanayoendelea ndani ya Jeshi la Polisi kumekuwepo na mikakati mbalimbali inayolenga uboreshaji wa miundombinu yake, ikiwa ni pamoja na kupata ofisi, vituo vya polisi, makazi ya kuishi askari makambini, vifaa na vitendea kazi ili kuimarisha ulinzi na usalama nchini. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Jeshi la Polisi iliona kuna umuhimu wa kuanzisha Shirika la uzalishaji mali la Polisi (Tanzania Police Corporation Sole) ili kuendelea kufanikisha malengo ya

maboresho yanayoendelea.
Kufuatia hatua hiyo Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliridhia kuanzishwa kwa Shirika la Uzalishaji ndani ya Jeshi la Polisi baada ya kusaini Amri ya uanzishwaji Shirika hilo tarehe 27/9/2012 kwa mujibu wa sheria ya mwaka 1974 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2000.
Mara baada ya kusainiwa na Mheshimiwa Rais, Mheshimiwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, kwa mujibu wa sheria ameteua Bodi ya Shirika hili na kumteua Ndugu EMMANUEL HUMBA kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo kwa miaka mitatu kuanzia tarehe 19/9/2013, aidha amewateua wajumbe wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi hiyo:-
Katika uteuzi huo amemteua pia DCP- SOSPETER M. KONDELA kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kwanza wa Shirika hilo .uteuzi huo unaanza mara moja.
Imetolewa na
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI,
18 NOVEMBA, 2013.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments