[wanabidii] MSAADA TUTAN KWA MADEREVAI: UWASHAJI WA AC KWENYE GARI

Wednesday, November 13, 2013
Njovu,

Hiyo gari yako sio SUV ni kwanini unaikimbiza umbali wote huo?


On Wednesday, November 13, 2013, Xavery Njovu wrote:
SUV  ni  nini   mkuu 

hebu niweke sawa.

Regards



On Wed, Nov 13, 2013 at 8:24 AM, Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com> wrote:
Njovu, 

Unaliumiza gari lako, 1800 CC car is not meant for long safari. Jipange uhamie SUV. 

Pamoja na hiyo bado sijakubaliana na wanaokubali kuwa ukiwasha AC fuel consumption bado ni normal.

Kitu kingine kinachoongeza fuel comsuption ni kujaza either abiria au mizigo; kunalifanya gari kuwa zito.

Lutinwa





2013/11/13 Xavery Njovu <njovucom@gmail.com>
Felix 

Hata  sielewi  nianzie  wapi  lakini msingi  wa  hoja yangu.  Ni  kuwa  huwa   napenda  kusafiri  masafa  marefu.  Sasa  hivi  naanda   safari  ya  KM  1500 kutoka arusha kwenda  songea  mpaka  pale  kijijini kwetu  lugagala. Natarajia  kutumia  gari  ya cc  1800. Nahitaji  kutumia  ac  katika safari  yangu yote.  Ndio  maana niliomba  huu muongozo.

Regards

xn 


2013/11/12 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
Hallo Mwema,

Mimi ni Mwalimu Chuo cha Usafirishaji na moja ya kozi tunazotoa ni ufundi wa magari.

Kwa kifupi kabisa. Ili kiyoyozi kifanye kazi kinahitaji nguvu (power) itokanayo na nishaji ya kukifanya kifanye kazi.

Wote tunajua kuwa kiyoyozi kinahitaji compressor na hii compressor hufanya kazi kwa kuendeshwa na injini kupitia mifumo ya mikanda.

Ukweli ni huu. Fuel consumption ipo lakini ni kidogo mno kama alivyosema Xavery na inategemea.

Kumbuka, kila kitu ni sayansi. Ukifungua madirisha unakutana na air resistances na hizi huongeza matumizi ya mafuta. Ukifunga madirisha unapunguza air restances. Hivyo, ukifunga madirisha na kutumia kiyoyozi unaweza save mafuta

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments