guys...
plot 20 kwa 20 with mjengo rums 3 sebule na kitchen huu mjengo upo lenta...luguruni ni kituo ch 3 kala hujafika kibamba....bei mil 9 tu.....mwenye nalo ni mdada na ana tatizo la haraka as ana mgonjwa morogoro...hii plot ni kati ya viwanja vilivyopimwa na jiji, maji na umeme bwerere....inauzwa kwa haraka sana kati ya leo na j4. docs zote zipo na serikali ya mtaa itasimamia mauzo na kampuni yangu...siwatanii huwez kupata mjini hapa kitu cheap hvo, mjeno toka ufike pale unaonekana chakavu due to mvua na kutofunikwa...
piga simu na uje ni nusu km toka morogoro rd kupita kituo cha kwembe police post
call me for detail now
cell 0652 314181
cheap plots, houses, yard, mansion are plenty available for u, test me u will never regret
lesian ole Mollel
ceo
ALJ gen Co ltd
Dar
0 Comments