Mbunge wa Arusha amwita mbunge mwenzake hadharani kuwa Zitto ni mnafiki alikuwa anapinga posho kumbe anachukua kwa mlango wa nyuma.....tunachokikumba wengine ni kwamba suala la kuchukua Posho lilipojitokeza bungeni Mwaka juzi wabunge wote wa CHADEMA AKIWEMO KIONGOZI wao walipinga hizo posho wakatishia kuzisusia ni John Magale Shibuda peke yake
Topic: Shibuda achangia bajeti ya waziri mkuu; ataka posho ziongezwe kwa jina jipya
0 Comments