Chadema break down
Baada ya mwezi mmoja serikali ya chama cha mapinduzi italala usingizi baada ya chadema kuingia katika mnyukano wa ndani wa kugombea madaraka.
Ajenda ya katiba mpya itawekwa kando ili kupisha makundi ndani ya chadema kuweka viongozi wao.
Ndani ya chadema imeelezwa kuwa yapo makundi matatu ambayo yamejiunda kuwelekea uchaguzi wa mwezi Disemba, ambapo kundi la kwanza ni lile linalotaka Dk.Slaa awe Mwenyekiti,Mnyika/Lisu awe Katibu mkuu Zitto/Pr.Safari awe makamu na Mbowe akae benchi.
Kundi la pili ni lile ambalo linataka Mbowe aendelee,Dk.Slaa abaki kwenye nafasi yake hiyo hiyo huku mnyika akikalia kiti cha Naibu katibu mkuu,Profesa Safari (Mwislam)akichukua nafasi ya makamu mwenyekiti.
Na kundi la tatu ni lile linalotaka Zitto awe Mwenyekiti,Shibuda/marando makamu mwenyekiti,katibu mkuu awe Kitila mkumbo au Dk.Silaa Naibu katibu mkuu awe Halima mdee.
Warning;'Ni maoni tu,no personal interest
0 Comments