[Mabadiliko] Napenda Kuuliza Swali

Wednesday, October 09, 2013
 
Ndugu Wapenzi,
 
 
 
Kweli sisi hapa napendana kweli...........???  Sababu gani tunamulikiana hapa na kufanya
ma hacking na spamming, kweli hii ni mzuri.....???  Sababu gani mimi ninawaona hapahapa
mnacheza hiyo gemu, na mimi naifahamu hiyo gemu na sijafanyia mtu, hiyo akili badala ya
kuitumia hapa, si tuiweke stock, itafaa wakatu fulani mbinu ingine lakini siyo hapa kwa forum
hata kama hatujuani lakini sisi ni ndugu wa FORUM, tuna andika na kusoma na kufurahi, na
Mungu anajua roho zetu.   Kwanini tusipendane, tuwache huu upuzi.........Tuwaachie hao
Ogulamama pekeyao wale wa kuchunguza intanet juu ya security......... Ama???
 
 
 
Judy Miriga
Diaspora Spokesperson
Executive Director
Confederation Council Foundation for Africa Inc.,
USA
http://socioeconomicforum50.blogspot.com

Share this :

Related Posts

0 Comments