[Mabadiliko] Hizi nyama za sikuhizi haziaminiki!

Saturday, October 26, 2013
Gal; Mambo swits?
Boy; Poa sana hun,,, Uko wapi?

 Gal; Nipo2 hapa hom nawatch moviez!
Boy; Hata mi npo bed2 nimeboreka. Si naweza kuja huko 2rilax pamoja??...

 Gal; Brilliant idea! By the way beib ukija unichukulie yoghut packet moja na ka chocolate forest cake hapo Mcity!
Boy; Haa Yoghut na hii baridi yote??Mmmh my dear sitaki uwe mgonjwa..

 Gal; Sawa basi njoo na keki tu
Boy; Uuuuiii,,,, Hun nlikukataza kula hivi vitu vya sukari Meno yako yataoza

 Gal; Gosh! Sasa utakuja na nini?? Basi pitia kwa Baba Chusa ununue maini nusu then uje nayo tupike
Boy; What??? Swity hukuona news juzi??? Hizi nyama za sikuhizi haziaminiki! Unaweza dhani ni nyama poa kumbe unakula tumbili
Gal; Basi njoo na mahindi chemsha ya 2000!
Boy; Woow! That's my beiby ,,,, Nakuja nayo sahivi!

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
KARIBU MABADILIKO MPYA: Jukwaa hii sasa linapatikana katika mwuonekano wa Kisasa: www.mabadiliko.com tafadhari tembelea na jisajili huko
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments