[wanabidii] Siku ya Pili ya Tamasha la Jinsia Tanzania 2013

Thursday, September 05, 2013
Siku ya Pili ya Tamasha la Jinsia Tanzania 2013

[caption id="attachment_37342" align="aligncenter" width="632"] Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi (katikati) akichangia mada kwenye moja ya semina anuai zinazoendelea katika Tamasha la jinsia 2013 linalofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption][caption id="attachment_37341" align="aligncenter" width="570"] Mmoja wa marafiki wa TGNP kutoka nchini Kenya (aliye simama) akiwasilisha mada kwenye Tamasha la jinsia 2013 linalofanyika viwanja vya TGNP, Mabibo jijini Dar es Salaam.[/caption][caption id="attachment_37335" align="aligncenter" width="640"] Washiriki wa Tamasha la Jinsia Tanzania 2013 linalofanyika viwanja vya TGNP, Mabibo jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada anuai kwenye semina mbalimbali zinazowasilishwa kwenye tamasha hilo.[/caption][caption id="attachment_37334" align="aligncenter" width="640"] Kundi la watoto nalo lilipata fursa ya kufundishwa masuala mbalimbali katika tamasha hilo. Pichani ni mmoja wa wawasilishaji mada kutoka asasi ya Watoto Arts Organization -WAAO (aliyesimama kati ya watoto) akizungumza na watoto kwenye tamasha hilo.[/caption][caption id="attachment_37337" align="aligncenter" width="640"] Kundi la watoto nalo lilipata fursa ya kufundishwa masuala mbalimbali katika tamasha hilo. Pichani watoto wakiwa katika somo la vitendo namna ya kuandaa moja ya vyakula rahisi.[/caption][caption id="attachment_37329" align="aligncenter" width="640"] Kundi la watoto nalo lilipata fursa ya kufundishwa masuala mbalimbali katika tamasha hilo. Pichani watoto wakipata mafunzo kwa mmoja wa wawasilishaji mada kutoka TGNP (aliyesimama kushoto).[/caption][caption id="attachment_37339" align="aligncenter" width="640"] Moja ya kikundi cha sanaa kikifanya igizo kuonesha wanatamasha uzembe wa wafanyakazi katika taasisi za umma anuai muhimu nchini zinazogusa maisha ya kila siku ya Wananchi kihuduma.[/caption][caption id="attachment_37340" align="aligncenter" width="640"] Baadhi ya wawasilishaji mada wakizungumza na wana semina katika tamasha la jinsia linaloendelea jijini Dar es Salaam.[/caption][caption id="attachment_37327" align="aligncenter" width="614"] Picha mbalimbali juu ni warsha mbalimbali zikifanyika kwenye mkutano wa Tamasha la Jinsia Tanzania 2013 linalofanyika viwanja vya TGNP, Mabibo jijini Dar es Salaam.[/caption][caption id="attachment_37344" align="aligncenter" width="640"] Maonesho ya bidhaa anuai zinazotengenezwa na vikundi vya wajasiriamali[/caption][caption id="attachment_37343" align="aligncenter" width="640"] Maonesho ya bidhaa anuai zinazotengenezwa na vikundi vya wajasiriamali[/caption][caption id="attachment_37326" align="aligncenter" width="640"] Mmoja wa washiriki wa Tamasha la Jinsia Tanzania 2013 (kulia) akiangalia moja ya bidhaa maalumu zinazouzwa na TGNP ndani ya banda la mtandao huo.[/caption]

Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments