[wanabidii] Mswaki kuwekwa chooni na bafuni ni ustaarabu?

Wednesday, September 25, 2013
Inawezekana nanyi mtakuwa ni miongoni mwa mlio wahi kuona "miswaki" ikiwekwa kwenye vikopo "vyooni na bafuni".
 
Sehemu zingine wanatumia vyoo cha "kanchubwi" lakini miswaki utaikuta pembeni.
 
Wote tunajua harufu za huko ndani. Huko kuna wadudu ambao wanauwezo wa kueneza magonjwa mbalimbali.
 
Mswaki unalala halafu "usubuhisubuhi" mtu anauweka mdomoni!!
 
Je, huu ni ustaarabu?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments