[wanabidii] magaidi tena kenya,kituo cha polis

Thursday, September 26, 2013
wanabidii
 Taarifa kutoka nchini kenya zinasema kuwa leo asubuhi katika mji wa mandera magaidi wameteka kituo cha polisi na kuua askari pamoja na kuchoma magari 11,
hadi sasa polisi watatu wamedhibitika kufariki.

Share this :

Related Posts

0 Comments