[wanabidii] 2015 Watanzania wanaotumia umeme wafikie 30%

Tuesday, September 17, 2013
"Serikali imedhamiria kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika sekta ya nishati ya umeme kupitia kauli mbiu ya uchumi na maendeleo, juhudi hizi zitafanikiwa kama Watanzania wenyewe tutaunga mkono jambo hili.

"Tunataka ifikapo 2015, kuwepo ongezeko kubwa la Watanzania wanaotumia umeme angalau asilimia 30, Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limejipanga kuhakikisha tunafikia lengo la kuzalisha megawati 3,000 ambazo tutaweza kuuza nje ya nchi na kuiwezesha nchi yetu kutekeleza miradi yake mingi ya maendeleo." 

Amenukuliwa na gazeti la  via Majira akisema hayo, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wakazi wa vijiji mbalimbali vilivyopo Wilaya za Kahama, Mkoa wa Shinyanga na Bukombe mkoani Geita alipokuwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa mradi wa upelekaji umeme vijijini (REA).

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments