[wanabidii] Tatizo la umeme mdogo (low voltage)

Monday, August 12, 2013

Ndugu zangu wanabidii
Naomba msaada wa kufikisha ujiumbe wangu kwa Shirika la Umeme Tanzania maana huku mtaani ninapokaa tuna tatizo la kupata umeme mdogo hasa nyakati za jioni na siku za weekend. Vyombo vinavyotumia umeme vinaacha kufanya kazi kabisa na taa hazitoi mwanga wa kutosha. Tatizo hili tumesharipoti Tanesco kanda ya Mbezi mwisho na hadi tumeenda kwa meneja Ubungo lakini tunaambulia ahadi. Kwa kweli tunaathirika sana na hali hii na tumefanya kila tunaloweza kuishawishi Tanesco itubadilishie transfoma hadi tumefikia mwisho bila mafanikio.
Tatizo ninaloliona ni Tanesco kuendelea kuunganishia umeme wateja wapya bila kubadili transfoma iliiendane na idadi ya watumiaji waliopo.
Naomba msaada wenu wadau. Nakaa eneo la Kimara Golani sehemu inaitwa Bulula

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments