[wanabidii] TAHADHARI

Saturday, August 24, 2013
Sera za Marekani zipo wazi kuwa Hawana rafiki wa kudumu na nchi yoyote
bali marazote inafanya hivyo kwa maslahi yake. Marekani ipo tayari
kutumia nguvu kulazimisha maslahi yake dhidi ya nchi yoyote hata nchi
rafiki!!!!!!!!!!!!!!
Tuki elekea kuwa rafiki wao je hatari hii tuna iona? Tuna chukua
tahadhari gani juu ya hatari hii iliyopo mbele yetu.

Kuhusu Rwanda, Tunapswa kuwa makini sana mana nahisi kuna uhusiano wa
karibu kati ya Maerkani na Rwanda Hata kupelekea wakimbizi wengi wa
Rwanda kupewa hifadhi huko. Hizi choko choko zisije zikawa njia za
Bwana mkubwa kutuvuruga ili afanikishe mambo yake kama anvyo fanya
huko DRC ambako kuna rasilimali nyingi. Marekani akiamua hata kesho
DRC kunakuwa na utulivu but hafanyi hivyo kwa maslahi yake. Tuna
urafiki na jambazi aliye tayari hata kutu vuruga kwa maslahi yake.
HONGERA UHURU KENYATA KWA KULIONA HILI!!!!!!!!!!!!!!!!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments