Kumekuwa na majibishano kwa muda sasa, majibishano ambayo nimatokeo ya ushauri uliosomwa na rais Kikwete, ushauri ambao hakuutoa binafsi,bali ni makubalioano ya Viongozi wa AU, waliokutana kujadili masuala ya amanina changamoto zake huko Addis Ababa, Ethipia.
Rais Kikwete alitoa ushauri huo kama briefing kwa viongozi wa AU juu yawaliyokubaliana.
Tangu hapo kumeibuka mfululizo wa mashambulizi kutoka upande mmoja dhidi yaRais Kikwete. Kwanza ieleweke kuwa alichokifanya rais Kikwete ni makubaliano yaviongozi wa mataifa hayo katika kikao kilichowakutanisha pamoja. Kumlaumu kwakauli hiyo aliyoisoma ni kumuonea tu, wa kulaumiwa ni viongozi hao kwa umojawao.
Tufanye kuwa ushauri ulitolewa na Rais Kikwete.
Hapa ndipo nilishangazwa na kauli iliyotolewa na Dr. Slaa.
Dr. Slaa alipinga ushauri uliotolewa na rais Kikwete na kuuita kuwa si wabusara (?)
Dr. Slaa anaweza kuwa na hoja katika maelezo yake, (hasa katika reference zake)lakini alikosea sana kuupinga ushauri ule, ni ukweli usiopingika kuwa Jamiihaitaacha kumuangalia Dr. Slaa kwa historia yake, aliwahi kuwa Padri naanatambua nguvu ya msamaha pia nguvu ya upendo kwa mustakabali wa jamii zawanadamu(Kama kweli ana amini). Ushauri wake haukuwa mbaya, bali upinzani wake,ushauri wake ulitakiwa uwe ni nyongeza, ulitakiwa kuwa ushauri mbadala ikiwaule wa rais Kikwete ungekuwa mgumu kutimizika. Badala yake yeye ameshauri njiamoja tu, ambayo ni Kikwete kuwaita kwa lengo la kuwapatanisha (si ushaurimbaya).
Upinzani wa kupinga kila kitu hautatufikisha popote kama taifa, hatuwezitukapinga kila kitu kama ambavyo hatuwezi kukubali kila kitu. Dr. Slaaanatakiwa aitambue nafasi yake katika jamii, na matarajio ya jamii juu yakehivyo ni wajibu wake kuandaa mazingira ambayo yatawaunganisha watu na kusimamakama taifa huko tuendapo, na ambayo hayatampa shida.
Ni vizuri kukosoa na kushauri, lakini mambo mengine tunaweza kuishia kuchangiakushauri tu.
Ni kweli kuwa siku za hivi karibuni, serikali imetuponyoka na sasa imekuwaserikali inayo operate kwa manufaa ya makundi fulani ya ndani na nje ya nchi,imekuwa ya kikatili sana kwa raia wake, haijali tena imetugawa natumegawanyika. lakini hayo yasitufanye vipofu wa kuona na viziwi wa kusikia.Tuendelee kutambua mazuri na mabaya pia, Kama tunaonglea mapambano na mapinduziza kifikra ni lazima akili zetu ziwe wazi na active, mioyo yetu pia isizongwena hisia za chuki na kukata tamaa, bali matumaini na dhamira.
Matatizo ya Rwanda yatamalizwa kwa nguvu ya msamaha na Upendo baada ya pandehizo kukutana.
Kwa kumalizia, naomba Dr. Slaa atafute na kuangalia Film iitwayo Amish Grace.
-- Rais Kikwete alitoa ushauri huo kama briefing kwa viongozi wa AU juu yawaliyokubaliana.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments