[wanabidii] MASHOGA 500 WANAISHI NA VVU MKOA WA DSM

Friday, August 16, 2013
Ndugu zangu ,

Taarifa nilizozipata zinasema mashoga 500 au zaidi wanaishi na virusi vya ukimwi katika mkoa wa dar es salaam pekee .

Tujue tu hawa mashoga wana wapenzi na wapenzi wao ni kina baba walio katika ndoa zao , kina kaka walio na wapenzi wao wa kike .

Hao ni wale waliojitokeza kwenda kupima na kueleza hali zao .

Ni vizuri tujiangalie majumbani mwetu , vyuoni , mashuleni na sehemu nyingine kuhusu suala hili na kuona jinsi gani kundi hili la watu linaweza kupima zaidi na kupewa matibabu zaidi .

--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments