[wanabidii] MALAIKA WA CHADEMA

Monday, August 26, 2013
Samson Mwigamba aliandika makala juu ya nani hasa wanakisaidia chama
cha demokrasia na Maendeleo.baada ya kutaja hawa viongozi wa kitaifa
tunaowajua,na hawa wanaoipinga kwa mantiki ya kuipa nguvu badala ya
kuiangamiza,mwigamba aliongelea dhana ya Malaika wa mungu.hawa ni wale
ambao wanatoa mchango mkubwa sana kwa chadema,lakini bila kuonekana
wala kutambuliwa.Ni kweli wapo malaika wengi na kwa maoni yangu ndiyo
wanaoifanya chadema izidi kukua namna hii.na kama alivyosema mwigamba
hawa hawasikiki na wala hawatambuliwi.
Baadhi yao wamefukuzwa kazi,wengine wamepata majeraha na ulemavu na
wengine wameuawa wakiwa wanakitetea chama hiki.lakini bahati mbaya
hawatambuliwi,na wengine wao wanaitwa wasaliti.na ukweli ni kwamba
historia ya CHADEMA kutafuta ukombozi wa nchi hii itakapoandikwa,hawa
hawatakuwemo.inanikumbusha shairi la kale " who built the gates of
Thebes".

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments