Sabalkheri Chipukizi kadri yake, sawa kabisa na mbiu za mgambo.....
Kwa nguvu za Mwenyezi Mungu, inshalah, mawingu yata pita ila tu
penye nia pana njia........tufanye hila.......ushirika ni nguvu...........
Judy Miriga
Diaspora Spokesperson
Executive Director
Confederation Council Foundation for Africa Inc.,
USA
http://socioeconomicforum50.blogspot.com/

From: Fakhi Karume <fkarume@gmail.com>
To: wanabidii <wanaBidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, August 24, 2013 12:50 PM
Subject: [wanabidii] Lengo la kagame na mseveni ni moja kutawala afrika mashariki na kati.

Watanzania wenzagu, mabibi na mabwana asalaam alaikum, Bwana Mungu asifiwe.
Paul Kagame na Yowel Museveni ni watutsi (Hamitics) wanaoamini kuwa wao ndio bora mbele za Mungu na wao ni super race (kizazi bora)tuliosalia wabantu kuonekana machoni pao inferior race (kizazi cha ovyo). Hivyo basi ni imani yao kuwa si jambo jema kwa kizazi cha ovyo kuendelea kuneemeka na neema tulizopewa na Mwenyezi Mungu, Ardhi nzuri, milima ya kuvutia, madini ya kila aina, malisho ya mifugo bora, mito maziwa na bahari. Lengo lao linakuwa kuhakikisha kwa njia yoyote ile iwe kumwaga damu yaani vita au vinginevyo wanatutawala na kutanua himaya ya wahima (HIMA EMPIRE).
Ninamjua vizuri Mseveni Yowel Kaguta, kipindi cha vita ya Kagera alikuwa upande wetu tukipambana dhidi ya Idi Amini Dada. Vitani alitumia nick name ya MUYOKA yaani JOKA kifupi cha Museven Yowel Kaguta na wakati mwingine alijibadirisha nick names kulingana na sehemu ya mapambano. Ilifikia wakati nikiwa na wanajeshi wenzangu wa Tanzania tume- take control uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebe na ushindi wa kumuondoa Idi Amini umekaribia, makamanda tulianza kujadili ni nani anafaa kuwa rais wa Uganda na ni akina nani wanafaa kuwa wasaidizi wake. Makamanda watiifu kwa kikundi cha Mseveni walimpigia debe lakini sisi watz na jumuiya ya kimataifa tukamuona bado ni cha mtoto kuwa TOP MANYOTA tukamshauri atachukua nafasi fulani nyeti tena ya juu akagoma.
Alichukizwa na hali hiyo akatugeuka na kuanza kutushambulia wanajeshi wa Tanzania na kuangamiza walio wengi sana. Viongozi wetu wa kijeshi ngazi za juu komandi ya mwisho wakatuamuru makomando wote kuwa Museveni amekuwa adui na akionekana popote apatikane akiwa hai au mfu. Huyu jamaa kweli nyoka tulikuwa tunafanya Commando Mission tunaona gari aina ya Land Rover 109 anayoitumia inakatiza eneo la vita akiwemo tunaimwagia risasi nyingi na kuilipua anatoweka katika mazingira ya kutatanisha. Tulimaliza Vita tukarejea Tanzania akiwa amejificha misitu ya KONGO na akitembelea kwa baba yake na Paul Kagame Mzee Rukwavu Kagame ( rukwavu kinyarwanda maana yake sungura) huko Rwanda.
Mikakati yao ni aina moja, wanapandikiza watutsi ukabila wa nchi fulani fulani na kujiita wagoma, wakivu, wasukuma, waha, wahaya, wachaga na kujiita wazanaki lengo kuu ikiwa kujificha Unyarwanda wao (ututsi) ili kutawala sekta nyeti nchi za jirani ili mwisho wa siku mapinduzi yafanyike kiulaini. Hebu jiulize Tanzania usalama wetu uko wapi? Mkoani Kagera watutsi wanyarwanda wanajiita wahaya,wanyambo, wahangaza. Mkoani Singida wamejipachika makabila ya huko wakati huo huo Dar na Kigoma wanajiita waha. Iko siku wanatugeuka! Take care.
Siwezi kutoa siri ya jeshi hata siku moja ila wanasiasa nawatahadharisheni rushwa imekuwa ndiyo mbinu ya kuingia madarakani na ninyi ndio mmekuwa mkiamua mambo ya nchi hivyo kesho na kesho kutwa kikinuka mnatuamuru tuingie vitani. Halmashauri za Kagera wilaya zote ngazi nyeti wameshika watutsi kwa rushwa wanafedha kutoka kwa Kagame na Mseveni kuandaa mpango maalum. Hali kadhalika kwa mikoa ya Kigoma,Tabora, Mara na Katavi ni watutsi ndio madiwani, wabunge, madaktari mahospitalini, wenyeviti wa Halmashauri nk mpango maalum wa Rwanda na Uganda.
Si ngazi hizo tu mpaka mawaziri ni watutsi, iko siku kitanuka kisa wanyarwanda waliojipachika utanzania mkawaruhusu kuongoza wamefanya mipango kuruhusu majeshi na siraha za Rwanda na Uganda kuingia nchini na kuteka maeneo muhimu raia a Tz wakazuiliwa kutoka au kuingia eneo lililotekwa wakatumika kama (HUMAN SHIELD) ngao ya binadamu itakuwa ngumu kuwanasua na kulikomboa eneo husika.
USHAURI: Wanasiasa acheni longolongo, vita si lelemama (sio kwamba naogopa wakianzisha tupo fiti na mziki watauona) ila acheni ufisadi unaoangusha uchumi wa nchi ili vita ikitokea uchumi ukiwa juu inakuwa rahisi kuliko uchumi ukiwa kama hivi ulivyo sasa na oparesheni maalum ya uraia halisi ifanyike bila kuangalia sura taaluma au utajiri wa mtu.

0 Comments