Ndugu zangu ,
Kuna hili suala la Wanajeshi na wafanyakazi wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama kuzagaa mtwara mjini kuanzia tarehe 11 mwezi huu , zimeonekana picha kwenye mitandao ya kijamii za vifaru na wanajeshi wengi maeneo hayo bila maelezo toka kwa msemaji wa jeshi wala wizara husika .
Nadhani kitendo hichi kiangaliwe kwa umakini sana , serikali itekeleze wajibu wake wa kulinda wananchi na kuwaletea maendeleo lakini sio kwa njia hizi zinazoendelea kukuwa kila siku .
Wizara husika ifikirie utaratibu mwingine wa kuweka ulinzi shirikishi na sio hii inayoendelea sasa .
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments