Ndugu zangu,
Nitangulie kwa kuwaomba radhi kwa kukatisha simulizi hii kwa zaidi ya juma moja sasa. Nitaendelea kutoka nilikomalizia.
Lakini kwanza bashraf ya simulizi iliyopita;
Vijana wale walimchinjia Mandela mbuzi kwa heshima yake. Naye Mandela aliongea nao. Akawaambia;
" Mafunzo ya kijeshi sharti yaende sambamba na mafunzo ya kisiasa. Maana, kufanya mapinduzi haina maana ya kufyatua risasi tu, bali, kutengeneza jamii ya haki na usawa."
Na baada ya maelezo hayo kwa vijana wale makuruta, Mandela anasimulia...Soma zaidi....http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/4638-simulizi-za-mzee-madiba-mandela-alipojifanya-dereva-wa-mzungu-kuwakwepa-makachero.html#.Ug3F420l_To
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments