Wandugu,
Tunashukuru kwa Mtandao wetu kuthibitisha kushiriki katika mdaharo wa katiba uliotarajiwa kufanyika 22-08-2013 kwa idadi kidogo sana ya walio tayari kushiriki kuliko ilivyotarajiwa. Hata hivyo, Tunapenda kuwafahamisha kuwa idadi ya watu walioalikwa na kutakiwa kuthibitisha juu ya ushiriki wao ni 630, Hadi saa 7 mchana wa leo ni washiriki 83 tu ndiyo waliothibitisha kushiriki, kati yao Mashirika matatu , wizara moja na ofisi ya bunge wametoa udhuru. Kwa hiyo washirika 547 wameshindwa kuthibitisha ushiriki wao. Kwa kuzingatia hilo na gharama zilizokuwa zitumike upande wetu imetuwia vigumu kuendeleza mjadala siku hiyo.Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza kwa kuwa mdahalo huo unaahirishwa mpaka idadi kamili/ya kuridhisha ya washiriki itakapo patikana na kuwajulisha tena siku ya kufanyika mdahalo huo.
Tunashukuru kwa wale wote waliothibitisha kushiriki kwa kuwa wameonyesha moyo wa uzalendo kwa kutaka kuchangia juu ya kuusaidia moja ya mhimili muhimu wa nchi yetu.
Marc6

0 Comments