RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete anatarajia kuzindua ujenzi wa barabara na kufungua rasmi kivuko cha Ruvuvu mkoani Kagera.
Taarifa ilio tolewa na Katibu mkuu wa wizara ya Ujenzi Balozi Herbert Mrango kwa yvombo vya habari inasema kuwa Mheshimiwa Raisi Kikwete atazindua kivuko hicho Julai 27 mwaka huu.
Kivuko hicho chenye uwezo wa kubeba tani 35 ikiwemo magari madogo 4 na abiria 80 kwa pamoja, kinatoa huduma ya kuvusha magari na abiria katika mto Ruvuvu eneo la Rusumo.
Alisema kabla ya ufunguzi wa kivuko hicho, Rais Kikwete ataweka jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Kigoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urfu wa kilometa 154, Julai 26 mwaka huu.
"Jumapili tarehe 28 Julai Rais Kikwete ataweka jiwe la msingi katika barabara ya Kyaka-Bugene-Kasumulo yenye urefu wa kilometa 59.1 tukio litakalofanyika katika kijiji cha Omugakorongo" alisema Balozi Mrango.
Alifafanua miradi yote mitatu inagharamiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwamba kutekelezwa kwa miradi hiyo itasaidia sekta ya usafirishaji na kukuza uchumi wa mkoa wa Kagera.
Aliongeza kuwa barabara na kivuko hicho vitaimarisha huduma ya usafirishaji katika mkoa huo na kuboresha biashara na usafiri kati ya mkoa huo na mikoa mingine pamoja na nchi za Burundi, Rwanda na Uganda.
Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2a2wB9GWI
-- Taarifa ilio tolewa na Katibu mkuu wa wizara ya Ujenzi Balozi Herbert Mrango kwa yvombo vya habari inasema kuwa Mheshimiwa Raisi Kikwete atazindua kivuko hicho Julai 27 mwaka huu.
Kivuko hicho chenye uwezo wa kubeba tani 35 ikiwemo magari madogo 4 na abiria 80 kwa pamoja, kinatoa huduma ya kuvusha magari na abiria katika mto Ruvuvu eneo la Rusumo.
Alisema kabla ya ufunguzi wa kivuko hicho, Rais Kikwete ataweka jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Kigoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urfu wa kilometa 154, Julai 26 mwaka huu.
"Jumapili tarehe 28 Julai Rais Kikwete ataweka jiwe la msingi katika barabara ya Kyaka-Bugene-Kasumulo yenye urefu wa kilometa 59.1 tukio litakalofanyika katika kijiji cha Omugakorongo" alisema Balozi Mrango.
Alifafanua miradi yote mitatu inagharamiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwamba kutekelezwa kwa miradi hiyo itasaidia sekta ya usafirishaji na kukuza uchumi wa mkoa wa Kagera.
Aliongeza kuwa barabara na kivuko hicho vitaimarisha huduma ya usafirishaji katika mkoa huo na kuboresha biashara na usafiri kati ya mkoa huo na mikoa mingine pamoja na nchi za Burundi, Rwanda na Uganda.
Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2a2wB9GWI
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments