[wanabidii] Tulinganishe: Misamaha ya kodi kwa makampuni na kodi ya mwezi ya laini ya simu (kwa mwaka mmoja wa fedha)

Wednesday, July 17, 2013
Wandugu,
 
  1. Kuna yeyote anaweza kutuambia ni jumla ya Tsh ngapi serikali inasamehe kwa mwaka kwa baadhi ya makampuni kama kodi halali ambayo makampuni hayo yalipaswa kulipa?
  2. Je, hii ada ya laini ya simu kwa mwezi kwa wastani wa idadi ya wa-Tanzania walio na simu kama ikikusanywa "kikamilifu" inaweza kuwa ni Tsh ngapi?
  3. Kama pesa itokanayo na misamaha ya kodi ni kubwa sana kuliko hii itokanayo na ada ya laini za simu; kuna haja gani ya kuwalipisha wananchi? (wananchi tusamehewe?)
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments