[wanabidii] TUHUMA ZA MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA

Tuesday, July 23, 2013

Ndugu zangu

Kuna Habari imeingizwa kwenye mtandao huu zinazomhusu mkurugenzi wa usalama wa taifa anazohusishwa nazo katika mambo machafu kabisa , habari hizo sio za kuangalia na kuacha hivi hivi tu haswa ukizingatia matukio ambayo yameikumba nchi yetu katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita .

NUKUU YA UJUMBE WENYEWE

Dear Officer,

I would like to bring to your attention the following:

The Chief of Tanzania Intelligence Services is trying to assassinate Mama Maria Nyerere.

He has been given sensitive information about the War on Terror by an American Security Agency. He has recklessly and dangerously disclosed this information to his subordinates who have been using it for personal use.

He has been trying to blackmail a dignified Indian lady into marrying her. Her and her Indian relatives have threatened to leave Tanzania and have shared concerns about their safety with the American and British embassies and diplomats in Dar-Es-Salaam.

He has been personally trying to emigrate out of Tanzania and to the United States since 2009.

Mletaji wa habari ametaja kuhusu tuhuma za mkurugenzi kutaka kumuuwa mama maria nyerere ingawa hajasema ni kwa sababu gani ila ukirudi nyumba wakati wa chaguzi moja ndogo mkoani arusha kuna baadhi ya viongozi waliwahi kurushiwa maneno yanayohusiana na kifo cha mwalimu nyerere .

Mtaalamu mmoja wa masuala ya siasa aliwahi kuhoji kwanini nyerere alipelekwa st Thomas badala ya Sweden ambapo ndio kulikuwa na mabingwa wa ugonjwa uliokuwa unamsumbua ?

Pia ameongelea suala la mkurugenzi kupewa taarifa zinazohusiana na ugaidi nchini halafu akaamua kukaa kimya na baadhi ya washirika wake , kwahili tunajua matukio 3 yaliyotokea kwa kipindi cha miaka 2 iliyopita , lile la padre kuuwawa Zanzibar , bomu kurushwa kanisani arusha na bomu kurushwa katika mkutano wa kampuni wa CHADEMA .

Kwenye hili la mwisho la mkurugenzi kuficha taarifa zinazohusiana na ugaidi nakumbuka mwanachama mmoja wa mtandao huu aliwahi kuonya kwamba suala la mabomu arusha linahusisha vyombo vyetu vya usalama na waliofanya unyama huo hawatakamatwa au kutiwa mikononi .

Hizi ni habari za kutisha na kusikitisha sana kama taifa tumefika katika hali hii na kama watu walioapa kulinda raia na mali zao nao wanageuka kuwa wazinzi wa raia na mali zao .

Hili halikubaliki na tunaomba mkurugenzi aachie wadhifa wake kupisha uchunguzi dhidi yake na ashitakiwe kwenye mahakama husika .


--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments