[wanabidii] TAARIFA YA MAKOSA MAKUBWA YALIYOLIPOTIWA MKOANI KATAVI

Tuesday, July 09, 2013
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA POLISI TANZANIA.



PRESS RELEASE.                                                                              05.07.2013

TAARIFA YA MAKOSA MAKUBWA YALIYOLIPOTIWA MKOANI KATAVI KUANZIA TAREHE 04.07.2013HADI TAREHE 05.07.2013.


01: BASI  LAACHA  NJIA NA KUTUMBUKIA MTONI NA KUSABABISHA VIFO NA MAJERUHI:

Mnamo tarehe 05/07/2013 majira ya saa 00:05hrs huko sitalike wilaya ya mlele mkoa wa katavi gari no:t.909 azt nissan diesel mali ya kampuni ya sumry  likiendeshwa na dereva Stephano s/o Chimane @ Ntungu liliacha njia na kutumbukia katika mto stalike @ mto iku na kusababisha vifo kwa watu 9  akiwemo 1.Isabela d/o Mwasunga ,18yrs, Mnyakyusa, mwanafunzi wa Kenswa sekondari,  2.Boniface s/o mwasunga,14yrs,mwanafunzi wa Ikondamoyo,3.frida d/o nikutusya, 44yrs,mkazi wa mpanda hoteli, 4. Selevesta s/o Sinkala,62yrs,Mpimbwe,mkulima wa Sibwesa, 5.Dominika d/o Evarist, 19yrs, mkonongo,mwanafunzi wa Inyonga ,6.Pendo d/o ?,Mfanyakazi wa Maridadi bar  7.Sifoliona d/o Martine,miezi 4, mtoto,mkazi wa Majengo na wengine wawili bado hawajafahamika kwa majina na  majeruhi kwa watu  50  1. Zephania s/o Ernest, 26yrs, mzinza,  mwalimu wa Geita, 2.Stanslaus s/o Malimba, 53yrs, Mkonongo, mkulima wa,inyonga, 3.Helieth d/o Malekela, 18yrs, mbena, mwanafunzi wa makanyagio,4.Mwita s/o Bita,43yrs Mjita,mwalimu wa Nsimbo,5.Lidia d/o Atenye,39yrs,mfipa ,mkulima wa Ikola,6.Amina d/o Juma,33yrs,mbende,mkulima wa makanyagio,7G.5296 pc Abel wa polisi wilaya Mpanda,8.Abeli s/o 
Chakupewa,47yrs,mfipa mhasibu wa sumatra,9.mwalusi s/o Sanga,27yrs,mkinga biashara Kotazi, 10.Shabani s/o Omary, 43yrs, mkulima wa Zanzibar, 11.Ferick s/o Mwalema, 30yrs , Mnyiha, mwalimu wa Kasulu, 12 .Ahamedi s/o  Ramadhani, 44yrs, Mjenzi,wa zanzibar, 13. Hamis s/o time, 44yrs, fundi, Zanzibar, 14. Yusuph s/o Masu, 29yrs,Mshilazi, Zanzibar, 15. Nemlodi s/o Kanu, 22yrs,mfipa,mwanafunzi wa Sumbawanga, 16. Wilachinza s/o Jolamu, 23yrs, muha, mwalimu,wa Mchakamchaka, 17John s/o Melisho, 49yrs, mchaga, mfanyabiashara wa Makanyagio, 18.Robert s/o Sikala, 29yrs, mnyiha, mwalimu wa kabungu,19.omary s/o Abedy, 41yrs, mshilazi,    20. Jeska s/o Kanzeni, 24yrs, mfipa, mwalimu wa Kigoma, 21.Recho d/o Jackison, 20yrs, mwanafunzi wa mbeya, 22. Zufa d/o Jafari, 28yrs, mkulima wa Chunya, 23.Reya d/o Alfosi,22yrs, Mnyika ,mkulima wa sitalike, 24.Idaya d/o mkumbi,14yrs, mnyamwezi, mwanafunzi wa Bagamoyo, 25.gift s/o Maltini, miezi4, mchaga wa Sumbawanga, 26.Maria d/o Minisi,25yrs,mchaga,mkulimawa Sumbawanga,27.Hilida d/o titho, 44yrs, muha wa Sumbawanga, 28. Patric s/o Alfred, 22yrs ,mfipa wa Sumbawanga, 29. Gelard s/o Kanzai, 42yrs, mfipa wa Ikola, 30. Gwamaka s/o Mwaipisi, 27yrs, mnyakyusa, mkazi wa Kukuyu, 31.Yusuph s/o Musa,16yrs, muha wa kichangani, 32.Emmakulata d/o Boniphace, mchaga, Nsemlwa, 33.Sara w/o majura, 41yrs, Mpare, kawajense, 34.John s/o Ndumbalo,30yrs,Mngoni,mwalimu wa Makanyagio, 35.Frank s/o Elius,20yrs,mfipa,mkulima wa Tambukareli, 36.Suzan s/o Samson, 29yrs, Mnyiha, mwalimu, mkazi wa Uruira, 37.Hamisa d/o Athman 36yrs muha,mfanyabiashara, mkazi wa Sumbawanga, 38.luice s/o Morice, 23yrs, mbende, mkulima, mkazi wa Kasekese, 39.Ibrahim s/o Amiry, 17yrs, muha, mwanafunzi, mkazi wa Makanyagio – Mpanda, 40.Neema d/o Robert, 28yrs, mnyakyusa, mkulima, mkazi wa Kabungu, 41.Magdalena d/o Thomas, 26yrs, Mkisi, mwalimu, mkazi wa Mapili, 42.joyce d/o sylivestr, 32yrs, mkimbu, mamalishe, mkazi wa Chunya – mbeya, 43.Adelina d/o Oneli, 2yrs, mtoto mdogo, mkazi wa Mpanda, 44.Anastazia d/o Gervas, 32yrs, muha, mkulima, mkazi wa Majengo – Mpanda, 45.Stanslaus s/o Malumba, 53yrs, Mkonongo, mkulima wa Mapili, 46.Bahati s/o Ndondole,25yrs,mbena,mwalimu wa kawajense na wengine wanne wametibiwa na kuruhusiwa.
 Chanzo cha ajali  ni ubovu wa gari kufeli breki, dereva wa Gari hilo alikimbia mara baada ya kutokea ajali hiyo juhudi za kumtafuta zinaendelea.

RAI;
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi linatoa rai kwa wamiliki wa vyombo vya moto kufanya  ukaguzi na matengenezo ya mara kwa mara kwa vyombo vyao na linawaasa  madereva kuwa makini wanapoendesha vyombo hivyo kwani watambue kuwa wanabeba maisha na uhai wa wanadamu.

Naomba kuwasilisha tafadhari

……………………………….

(EMMANUEL J. NLEY-ACP)
KNY: KAMANDA  WA POLISI
MKOA WA KATAVI.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments