[wanabidii] SCHOLARSHIPS TENABLE IN CYPRUS - INTERVIEW TODAY AND TOMORROW

Monday, July 15, 2013


NDUGU ZANGU MTUSAMEHE KWA KUCHELEWA KUWAPATIA TAARIFA HII NJEMA. MAMA CONSOLATA NGIMBWA, MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAKADNDARASI TANZANIA AMEPATA BARAKA YA KUTEULIWA KUWA MWAKILISHI WA CHUO KILICHOTAJWA HAPO JUU NA HIVYO KUPIGANA KWA HALI NA MALI HATA KUPATA NAFASI HIZI KWA VIJANA WETU. WAWAKILISHI WA CHUO HIKI WAMESHAFIKA KWA AJILI YA USAILI LEO NA KESHO UTAKAOFANYIKA PALE KATIKA HOTELI YA NEW AFRIKA. TAFADHALI PELEKE UJUMBE HUU KWA KILA UNAYEMFAHAMU MKITWATIA MOYO VIJANA WALIOFANYA VIZURI KATIKA MITIHANI YAO YA FORM 6 ILI TUSITIE AIBU NA KUKOSA NAFASI ADIMU KAMA HIZI. TUACHE UBINAFSI SI LAZIMA AWE WA KWAKO AMA WA FAMIILIA YAKO, PELEKA HABARI KWA KIJANA YOYOTE YULE ATAKAYEWEZA KUPIGANIA NAFASI HIZI. KWA WALE WENYE MEDIA NAOMBA MJITOE MTOE KWENYE VYOMBO VYENU VYA HABARI
Rosemary Mwakitwange
B.com (hons), MBA 
Executive Chair 
East Africa Business & Media Training Institute
P.O Box: 5659 
Dar Es Salaam, Tanzania
Tel: +255 222 602408
Cel:+255 717 190 856/755 019 284

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments