[wanabidii] Is NBC an Islamic Bank?

Friday, July 12, 2013
Huko Tanzania kuna watu ambao wanaomba kutokee siku moja interna war based on religious matters. Watu kama hao wapaswa wapigwe vita kabla ya mawazo yao hayajatokea. Mfumo wa Islamic Bank upo sio Tanzania tu bali katika nchi kadhaa ulimwenguni. Hata katika nchi tajiri ulimwenguni zipo hizo benki sio kwa Waislaam tu, bali kwa mtu yeyote ambaye anakubaliana na matakwa yao-kwamba hawatoi wala kuchukua riba. Sasa hao wenye mawazo ya kusema nchi itaanza kugawanyika simply because it is an Islamic Bank sijui wanjisikiaje vichwani mwao.
Suala sio kuwagawanya watu, bali suala ni kwamba "What impact will it have to other banks" Will the other banks be able to compete-as most customers will start to run away? Na matokeo yake kuanza kuanguka kwa benki and thus increase unemployments. Hayo ndiyo mambo mnaweza kuongelea na sio again kuanza kutafuta chokochoko za dini. Shame on you people, John Mahaba na wengine walio sensitive na mambo ya dini dini. Tafuteni sababu za misingi ya kitaifa iwapo mnaipenda nchi ambayo inahitaji investors kutoka pande zote za dunia.
Mtanganyika

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments