[wanabidii] CCM KUNG'OLEWA NA WATUMIAJI WA SIMU

Thursday, July 18, 2013
WANABIDII,
haijawahi kutokea lakini safarii hii wabunge wa CCM wameamua kukidhika chama rasmi, nimeshangaa kusikia makada wa chama cha mapindizuzi wakishutumu chadema kwamba kinapokuwa na maslahi binafsi kinawataka wananchi waandamane lakini suala linalohusu masilahi ya wananachi hawataki kuwashawishi waaandamane.
   
  unajua nini ? ni kwamba wanachama wa CCM wapo tayari kuunga mkono maadamano yawe ya amani au ya kiitelejensia kupinga kodi ya kichwa iliyorejeshwa kwa njia ya simu. mitaani hivi sasa hakuakalizi zaidi ya wapiga kura milioni nane wanaomili simu ndio wanatamani yaitishwe maadamano hayo, wanahoji inaamaa mtu mwenye laini tatu za  simu atatakiwa kutenga shilingi 36000 kwa mwaka kuzilipia, wakati wanafunzi wa sekondali wanafukuzwa kwa ada ya shilingi 20000 kwa mwaka.

katika maeneo yetu ya Rugoba kata ya lugoba Bagamoyo nusu ya watoto wa wafugaji wameshindwa kuanza shule kutokana na kukosa pesa ya dawati... ni mambo kama hayo ambayo yamechochea chuki huku watumiaji wa simu wakiomba uchaguzi ufanyike kama leo waionyeshe ccm atahali za hiyo kodi bilioni 2.5 wanazotalajia kukusanya kila mwezi zitafanya nini mbele ya sanduku la kura.....
   

Share this :

Related Posts

0 Comments