Usiku wa kuamkia jana basi la Princess Muro linalofanya safari zake kutoka Dar kwenda Mwanza/Kahama limeteketea kabisa kwa moto hadi majivu maeneo ya kijiji cha Nata kilometa chache kutoka Nzega mjini kwa kuelekea upande wa Tinde/Mwanza.Nimepita njia hiyo jana asubuhi kuelekea Mwanza nikakuta mabaki ya basi hilo na hata niliporudi safari yangu leo mchana huu bado mabaki hayo ya basi hilo hayajaondolewa barabarani eneo la tukio. Sikupata tarifa zaidi kama kuna abiria yeyote aliejeruhiwa na moto au kufariki dunia,na kama kuna mtu ana taarifa zaidi aziweke hapa tupate habari kamili.
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments