Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam anasema anatoa onyo kaali kwa wamachinga wasithubutuu kurudi maeneo waliyoondolewa,pindi ya ujio wa Rais Barack Obama.
Pia kasema wasikubali kushawishiwa na wanasiasa eti warudi walipotolewa.
Taarifa hii nimeitoa muda sio mrefu clouds fm radio wakiperuzzz magazeti.
Swali najiuliza,kila kiitu wafanyacho wananchi siii akili zao ni ushawishi wa wanasiasa? Ina maana tumechooka kabisa kufikiri?
Hili linanisikitiisha saana.Mnalionaje hili ndugu zangu
Regards,
Jonas
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments