Kwa mujibu wa ITV wafugaji wanaodaiwa kuvamia maeneo mkoani Tanga wamefukuzwa na Kuchomewa nyuma zao. Hapa mimi sielewi kabisaaa. Inakuaje wanachi walioishi kwa miaka mitano na baadaye waambiwe waliingia kinyume cha taratibu? Mbona serikali haikuwakatalia mapema? Sasa watoto wanahangaika na baridi inayoweza kuwasababishia magonjwa.
Vin
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments