[Mabadiliko] Simulizi Za Mzee Madiba; Mandela Alipokutana Na ' Simba Wa Yudah...!'

Friday, July 19, 2013
Simulizi Za Mzee Madiba; Mandela Alipokutana Na ' Simba Wa Yudah...'

Na Maggid Mjengwa,

Ndugu zangu,

Kwenye safari yake ya kwenda Ethiopia tumeona, kuwa Nelson Mandela alitua kwanza Kharthoum, Sudan. Basi, akiwa pale Sudan, baadae akaelekea Ghana. Kule Ghana Mandela alikutana na Oliver Tambo, kiongozi wa ANC aliyekuwa akiishi na kufanya kazi za ANC akiwa mafichoni. Nje ya Afrika Kusini.

Mandela alikuwa hajaonana na Oliver Tambo yapata miaka miwili. Alishangaa kumwona Oliver Tambo amebadilika, si yule aliyekuwa akitokea katika staili ya kihafidhina. Oliver Tambo akawa ni mtu...soma zaidi....http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/4041-simulizi-za-mzee-madiba-mandela-alipokutana-na-simba-wa-yudah.html#.UejRQ22CDTo

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments