Na Maggid Mjengwa,
Tunaendelea na simulizi hizi za Mzee wetu Madiba. Jana tu nilisimulia jinsi Mandela alivyofanya safari ya hatari angani. Safari ya kutoka Bachuana Land kuitafuta Mbeya katika ardhi ya Tanganyika. Ilikuwa ni mwaka 1962.
Kimsingi Mandela na ANC walitaka wafike Addis Ababa kwenye mkutano walioalikwa rasmi. Ni mkutano wa PAFMESCA ambao ungeshirikisha nchi na viongozi wengi wa nchi za Afrika zilizokuwa huru wakati huo. Ilikuwa ni fursa kwa Mandela kufungua milango ya mawasiliano na viongozi mbali mbali kwa manufaa ya ANC na mapambano yao ya ukombozi kutoka ubaguzi wa rangi.
Na kabla ya kuendelea na kuiangalia safari yake ya kwenda Dar, ebu kidogo tubaki Mbeya, tuone ni jinsi gani Mandela alivyoitafakari nchi yake ya kwanza ya Kiafrika aliyoiona tangu azaliwe. Ikumbukwe,..... Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/siasa/item/3780-simulizi-za-mzee-madiba-siku-mandela-alipofika-nyumbani-kwa-nyerere-msasani.html#.Udjo_W2tiAg
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments