[Mabadiliko] JAJI WARIOBA KUKUTANA NA WANAHABARI KESHO - IJUMAA, JULAI 5, 2013 - SAA 4:00 ASUBUHI

Thursday, July 04, 2013
Wakuu,
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, atakutana na Wanahabari kesho, Ijumaa, Julai 5, 2013, kuanzia saa 4:00 asubuhi, katika Ukumbi wa Mikutano wa Tume uliopo katika Ofisi za Tume, Mtaa wa Ohio, jijini Dar es Salaam.
 
Katika mkutano huo, pamoja na mambo mengine, Jaji Warioba atazungumzia mikutano ya Mabaraza ya Katiba ya kujadili Rasimu ya Katiba itakayofanyika katika kila halmashauri ya wilaya. Mikutano hiyo itaanza hivi karibuni. 
Nyote mnakaribishwa.
 
Rgds
 
Omega S. Ngole,
Constitutional Review Commission (Tanzania),
Ohio Street, 
PO Box 1681,
Dar es Salaam,
Tel: +255 (0) 22 2133425,
Fax: +255 (0) 22 2133442,
Mobile: +255 (00 757 500800,
Website: www.katiba.go.tz

Share this :

Related Posts

0 Comments