[Mabadiliko] ... Ukiambiwa Simba Yuko Nyuma Yako Unafanyaje?

Thursday, June 27, 2013


Ndugu zangu,

.... Mwingine ataanzisha mbio. Hapana! Geuka kwanza umwangilie simba mwenyewe. Aweza kuwa simba wa karatasi au simba halisi. Na hata kama ni simba halisi, basi, kugeuka na kumwangalia ndilo lililo muhimu kufanya. Maana, naye atakuangalia, mtatazama.

Jicho ni silaha pia. Na simba ni mnyama mwenye aibu. Na wakati mwingine adui mwangalie machoni, usimpe mgongo.

Kuanzisha mbio kwa simba aliye nyuma yako yumkini yaweza kuwa ni kukatisha maisha yako.

Tuwe na ujasiri wa kuzikabili hali halisi. Ni rai tu.

Maggid,
Iringa.
http://mjengwablog.com

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments