Na Maggid Mjengwa,
NAHOFIA, kuwa Watanzania tumejikita kwenye ndoto ya utajiri wa gesi na mafuta na kusahau kilimo chetu. Hivyo, ni hatari kwa uchumi wetu.
Tunafikiria utajiri wa gesi na mafuta kana kwamba katika dunia hii ni sisi tu Watanzania ndio wenye utajiri wa akiba ya gesi na mafuta. Hatujui, kuwa katika dunia hii kuna nchi zilizo akiba hizo za mafuta na gesi lakini bado uchumi wao hauwafanyi watu wao wawe ni wenye neema tu. Nao wanafikiria pia kwenye vyanzo vingine vya kuinua uchumi wao ikiwamo kilimo.
Naam, Mwanafalsafa David Hume alipata kusema; "Mbegu yako imekomaa leo, yangu itakomaa kesho. Ni jambo la manufaa kwetu sote kama nitalima pamoja nawe leo, na wewe unisaidie kulima kesho. Siwezi kuwa na urafiki nawe...Soma zaidi..http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/3473-uchumi-wetu-na-harusi-za-kufa-mtu-mwananchi-jumapili.html#.Ucg41pyNCAg
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments