[Mabadiliko] Morocco Wametuwekea Mlima Jangwani, Hivi Ndivyo Tutakavyoupanda...

Sunday, June 09, 2013

Ndugu zangu,

Njia yetu kwenye safari ya kwenda Brazil jana usiku imewekewa mlima na jamaa zetu wa Morocco.  Niliuangalia mchezo mzima. Nilisikitika sana, kuwa, tulikuwa na bahati mbaya sana ya mchezaji wetu kupigwa red card kwenye kipindi cha kwanza na  jamaa zetu wa Morocco kwenda mapumziko na goli moja mfukoni.

Niliiona hali ya kuchanganyikiwa kwenye benchi letu la ufundi. Na kosa kubwa lilikuwa kumtoa Ulimwengu. Ujumbe ulitumwa  uwanjani  kuwa sasa tunajihami zaidi. Ni kosa. Kulichangia kushindwa kwetu, maana, Morocco kwa jana hawakutisha kabisa. Tulitakiwa  kujiamini na kuthubutu kuwashambulia badala ya kufikiri kujihami zaidi. Naam, jana tumeshindwa.

 Tafsiri yake?

 

Kandanda ina miujiza yake na imetokea zaidi ya mara elfu moja.  Na inavyoonekana kwenye karatasi... Soma zaidi..http://www.mjengwablog.com/michezo/item/3177-morocco-wametuwekea-mlima-jangwani-hivi-ndivyo-tutakavyoupanda.html#.UbQlX5yNCAg

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments