[Mabadiliko] Maishani Mwake Obama Hajawahi Kuota Kuwa Makamu Wa Rais... Bali Rais!

Thursday, June 27, 2013

... Ameota kuwa angekuwa Rais wa Marekani, amewawahi kusema wazi juu ya ndoto yake hiyo,  na amekuwa Rais wa Marekani, ni Rais wa Dunia.  Obama haamini katika nambari mbili. Na hata alipokuwa Havard University alichogombea ni Urais wa Wanafunzi wa Sheria, akawa mweusi wa kwanza kuwa Rais wa wanafunzi wa sheria chuoni hapo. Ni muhimu kwa mwanadamu kuwa na ndoto, hata taifa pia.

Good Morning!

Maggid ,

Iringa.

http://mjengwablog.com

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments