[wanabidii] Ungependa nani apeperushe bendera ya CCM 2015?

Sunday, May 19, 2013
Miongoni mwa watu wanaotazamiwa kuchukua fomu kuwania Urais ni Mhe.
Bernard Membe, Mhe. Mwigulu Nchemba, Mhe. William Ngeleja, Mhe.
Emmanuel Nchimbi, Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe, Mhe. John Magufuli,
Mhe. Steven Wassira, Mhe. Samwel Sitta, Mhe. Edward Lowassa. Watatu wa
mwanzo ni wanachama wa kundi la M2015 (Mustakabali 2015) tulolianzisha
miaka mi2 iliyopita, halifungamani na yeyote, wkt ukifika tutaamua
kumpa nani kati ya hao. Je wewe ungependa nani apeperushe bendera ya
CCM 2015?

Hamisi Kigwangalla FacebookPage

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments