Wasanii Dina Mapunda aka Dina Brown na Mon G ! ni cheche za moto mkali !
-- Tunapoizungumzia Tanzania na utajiri wake wa wasanii na wanamichezo wenye vipaji,kwa hakika kabisa majina ya wasanii wachanga ndio chachu zinazo umua
burudani moto moto katika jamii...ya watanzania.
Majina ya wasanii wachanga yapo mengi,wasanii ambao kwa namna moja au
nyingine wanahitaji kupigwa jeki na sisi watanzania,ili waweze kufikia kilele cha mafanikio katika sanaa,ambazo pia ndio ajira yao.
Juzi kati katika kupekua pekua majina ya wasanii Mon G na mwanadada Dina Mapunda a.k.a Dina Brown ni wapya na ni moto mkali...tena moto wa kuotea mbali,
Dina Mapunda aka Dina Brown na Mon G wanasikika at
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments