aliweza kuangamiza utawala wa kichifu akidhani na uakabila akidhani ndio utaleta fujo akacha joka la udini linapumua sasa linatumaliza.
ni vizuri ile silaha alitumia kumaliza ukabila na utawala wa kitemi bila kumwa ga damu wala kurusha risasi ikatumika kumaliza udini unaotishia amani nchini.
0 Comments