TUSISAHAU KWAMBA NCHI NYINGI DUNIANI, NA HATA MAJIRANI ZETU WANATUONEA WIVU KWA AMANI TULIYONAYO KWA MUDA WOTE HUU. BADALA YA KUTUMIA HALI HILO VIZURI KUENDELEZA NCHI TUNATA KUHARIBU USALAMA KUTUMIA DINI. WAKRISTO NA WAISLAM LAZIMA MJUE DINI HAZIKUANZISHWA ILI ZIWATESE WATU. OFCOURSE, TO EVERY ACTION THERE IS EQUAL AND OPPOSITE REACTION, LEO MUISLAM KALIPUA BOMU, KESHO MKRISTU, KAMA ILIVYOFANYKA ZANZIBAR-KWANZA PADRI, BAADAE SHEIKH KAPIGWA MAPANGA. SIJUI KAMA HALI HIYO HAIWASUMBUI AKILI WATAWALA WETU AMBAO WANA EXPERIENCE KUBWA KWANI NCHI IKO MIKONONI MWAO KUANZIA NCHI ILIPOPATA HURU. NI MATEGEMEO YETU THIS TIME KUONA WATU HAO WATAFUTWE NA WAPATE ADHABU KALI BILA KUJALI NI WAUMINI AU SIO.
Mtanganyika
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments