
!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!!GDSS!!!!
JUKWAA LA WAZI LA KIJAMII
KARIBU SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO ZA KILA JUMA TANO
MADA: UZINDUZI WA ILANI YA MADAI YA WANAWAKE KATIKA KATIBA MPYA
Lini: Jumatano Tarehe 08/05/2013
Muda: Saa 03
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WATOA MADA: JOPO
WOTE MNAKARIBISHWA
0 Comments